Faustin NYEBONE: Plastiki ni shida zaidi sana kwa ubongo wa mtoto

Tupunguze utegemezi wetu kwa plastiki ili kuokoa maisha. Huu ni ujumbe muhimu wa uhamasishaji ambao shirika lisilo la kiserikali la AICED, Appui aux Initiatives Communautaires de Conservation de l'Environnement et de Développement Durable, ambalo ni shirika la kulinda mazingira, limekuwa likiongoza kwa muda huko Goma. Kulingana na shirika hilo, athari mbaya za plastiki na vitu vingine vyenye sumu vinadhuru ukuaji wa akili za watoto. Ili kulizungumzia suala hilo, tunamkaribisha kama mgeni, Faustin NYEBONE. Yeye ndiye mratibu wa kitaifa wa AICED. Anazungumza na Denise Lukesso.

/sites/default/files/2024-04/250424-p-s-gomainvitefaustinnyebone-00-web.mp3