TEPE GOMBI : Hakuna usaidizi wa kibinadamu kwa wakimbizi apa Kasenyi tangu 2022


Watu elfu nane na mia tano waliokimbia makazi yao wanaishi bila msaada wowote kwenye kambi ya wakimbizi Umoja huko Kasenyi, kituo cha biashara kilicho kwa umbali wa kilomita makumi tano na tano kutoka Bunia pembezoni mwa Ziwa Albert.  Hii inawasukuma wasichana wachanga kujihusisha na ukahaba ili kupokea pesa kidogo kama malipo ya kujibu mahitaji yao. TEPE GOMBI, msimamizi  wa Kambi hiyo anaiomba serikali kurejesha amani katika vijiji vyao. Anazungumza na Jean Claude LOKY DILE.

/sites/default/files/2024-03/260324-p-s-invitebuniatepegombi-00-web.mp3