Profesa Deogratias Mundenga : Mihindi tulivuna tumegeuza kuwa unga

Mgeni wetu ni Profesa Deogratias MUNDENGA, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Juu ya Mafunzo ya Kilimo na Mifugo, ISEAV/Maniema. Anazungumza juu ya uzalishaji wa kilimo ya msimu wa ukuaji wa kwanza, uwanja wake wa majaribio. Bidhaa hizi zinageuzwa na kuuzwa kwa wakazi wa eneo hilo. Kwa hivyo ISEAV inatetea nafasi kubwa zaidi ya kutekeleza shughuli hizi ipasavyo. Mkurugenzi Mkuu wa ISEAV/Maniema, Profesa Deogratias Mundenga, akizungumza na Florence KIZA LUNGA.

/sites/default/files/2025-04/020425-p-s-invitekinduprofessadeogratiasmundengaiseavfmaniema-00-web.mp3