Merdi Baraka : Woga wangu ni kuachia watoto wetu dunia ambayo haivutii tena sana

Katika tarafa la Beni: mbuga, msitu na hata hifadhi za misitu za kimila zinatishiwa na kuwepo kwa makundi yenye silaha ambayo yanaharibu utajiri huu wa asili na kutishia viumbe hai. Je, ni matokeo gani na nini kifanyike kuokoa hali hii? Tunazungumza juu yake na Merdi Baraka, anayehusika na mpango wa mazingira katika shirika ala Fondation Virunga. Merdi Baraka anazungumza na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2024-12/111224-p-s-invitebenimerdibarakafondationvirunga-00-web.mp3