Kiongozi wa Usalama Barabarani mjini Bunia anawaalika wazazi kuhakikisha usalama wa watoto wao wakati wa sherehe barabarani. Paulin Tandema anatueleza kuhusu ongezeko ya ajali za barabarani mjini . Lakini pia hatua zilizochukuliwa na huduma hii ya serikali ili kuzuia ajali , haswa kipindi cha matangazo ya mitihani ya serikali . Paulin Tandema anazungumza na Ezechiel Muzalia./sites/default/files/2024-07/22_07_2024_bunia_invite_swahili_web.mp3