austin Nyebone, mkurugenzi mtendaji wa kitaifa wa shirika lisilo la kiserikali linalohusu "Msaada kwa mipango ya Jumuiya kwa uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu AICED kwa kifupi , anazungumziya mapendekezo yaliyotolewa miezi sita iliyopita, katika viwango tofauti, kuhusu usimamizi wa taka za plastiki katika mji wa Goma. Tumsikilize kwenye kipaza sauti cha Chris Mukand/sites/default/files/2024-07/invitefaustinnyabone_web.mp3