Ni mwisho Siku ya ine hii, tarehe tisa Mei, ya mapokezi ya faili za wa wagombea wa uchaguzi wa manispaa katika jimbo la Kivu Kusini. Tawi la CENi la Kivu Kusini kwa bahati mbaya linabainisha kuwa wagombea hawaonyeshi shauku ya kutosha. Katibu mtendaji wa mkoa wa Kivu Kusini, PIUS BIKUNGU anadhani kuwa CENI inafaa kukomesha kuongeza Siku ili kuwachochea wagombea wanao uzoefu wa kuchelewa. Yeye ndiye mgeni wetu, anazungumza na Jean Kasami.
/sites/default/files/2024-05/10052024-p-s-invitebukavupiusbikungu-00-web_0.mp3