Wafanyabiashara wanao badilisha feza wanauwawa mara nyingi na majambazi wasio julikana katika mji wa Goma . Bwana Aimé FIKIRI Justin ni msemaji wa Chama cha wafanyabiashara wanao badilisha fedha katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, Association des Cambistes du Nord-Kivu, ACANOKI kwa kifupi. Anazungumzia suala hilo. Anajibu kwa maswali ya Denise Lukesso/sites/default/files/2022-10/14102022-p-s-inviteswahili-00_web.mp3