Journal Swahili Matin du lundi 05 08 2024

1/Goma : Waas iwa M23 wana zibiti kijiji cha Nyamilima

2/Beni : Kuona kuzidishwa kwa usalama mudogo katika jimbo la Ituri na Nord Kivu, Shikika la utetezi wa haki za binadamu REDHO una omba uondoshwe Etat de Siege.

3/ Bunia : Ripoti ya uchunguzi wa habari kuusu uvunjaji wa haki za Binadamu wa muungano Justice Plus.

4/ Kisangani : Sherehe ya ukumbusho wa mauwaji makali inchini GENOCOST, Ushuuda wa wahanga

5/Kindu : Maoni ya shirika la raiya la Maniema kuusu ajali ya kuzama kwa maji

6/ Mbuji-Mayi : uzinduzi wa kazi za kutengeneza barabara za mlimo

7/Kin: Kushimikwa kwa serkali ya jimbo

8/Matadi : Kongamano la Vijana mashujaa wa Moanda wanao omba mwangaza kuusu matumizi ya dola milioni 10 za kimarekani

9/Lubumbashi : wachezaji wote wakongomani walio huzuriya kwenye michezo ya olempike inchini Ufaransa wana ondoshwa./sites/default/files/2024-08/05_08_2024_web_journal_swahili_matin_du_lundi_05_08_2024_.mp3