Journal Soir

Habari za jioni 20 Februari, 2025

  • Bukavu : Waasi wa M23 na washirika wao wa Rwanda wanaendelea kusonga mbele huko Kivu Kusini, wameudhibiti mji wa Sange hii siku ya tatu kuelekea Uvira. Jambo ambalo linaleta hofu kwa wakazi  
  • Kinshasa : Liwali wa jiji la Kinshasa anaita Wakazi wa Kinshasa kuepuka kutumbukia katika ubaguzi. Daniel Bumba alisema hayo baada ya mkutano wa usalama na waziri wa mambo ya ndani
  • Kinshasa : Vikwazo vya njia moja kwenye barabara fulani katika mkoa wa Kinshasa vitasimamishwa kwa mda kuanzia tarehe makumi mbili na tano Februari ijayo. Uamzi huo uko katika tangazo kutoka wizara ya mambo ya ndani