Habari za jioni 17 Februari, 2025
- Bukavu: Utulivu unazingatiwa hii siku ya kwanza mjini Bukavu siku moja baada ya kukaliwa na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda
- Bunia: Wanamgambo wa CODECO walishambulia kambi ya Djaiba huko Ituri katika usiku wa kuamkia hii siku ya kwanza. Walirudishwa nyuma na jeshi la Kongo likiungwa mkono na walinda amani wa MONUSCO
- Mbuji Mayi: Huko Kasai Oriental, wafanyakazi wa Tume ya Kitaifa ya Kuzuia Barabara, CNPR Mbuji Mayi wanadai mishahara yao ya karibu miaka tisa./sites/default/files/2025-02/170225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3