Journal Soir

Habari za jioni 10 Februari, 2025

  • Bukavu : Mahakama ya kijeshi ya Bukavu inasikiliza kuanzia hii siku ya kwanza kesi ya wanajeshi makumi nane na ine  wa FARDC wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya raia wasiopungua tisa huko Kavumu na Miti jimboni Kivu Kusini usiku wa kuamkia tarehe nane Februari mwaka tunao
  • Goma : Huko Goma, shughuli za  shule hazikuanza tena hii Siku ya kwanza, kinyume na maagizo ya mkuu wa elimu katika Kivu Kaskazini. Wanafunzi hawakufika, wazazi wao wanafikiri kwamba hali ya usalama bado
  • Kinshasa : Mjini Kinshasa, liwali wa jimbo alitembelea week end hii sehemu fulani ambazo kazi za ukarabati wa barabara zinaendelea./sites/default/files/2025-02/100225-p-sw-journalswahilisoir-00-web.mp3