Habari za jioni 10 Januari, 2025
- Kinshasa : Kinshasa inataka kuendelea na mchakato wa Luanda, afahamisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Kongo
- Kinshasa : Ufaransa yaitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake mashariki mwa Kongo
- Bunia : Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa inamtuhumu Thomas Lubanga kwa kujihusisha na M23
- Kisangani: Gwarida mchanganyiko FARDC_Polisi wa Kitaifa wa Kongo
- Goma: Zaidi ya watu elfu kumi waliokimbia makazi yao wanajaa katika hospitali ya Masisi kulingana na ripoti ya MSF
- Beni: Shirika lisilo la kiserikali la Enfant pour l’Avenir et le Développement linashutumu ubakaji wa wanawake waliohamishwa na visa kumi na nane ndani ya wiki mbili
- Bunia: Watoto wakimbizi wa vita wanaohangaika mitaani wanatumia madawa ya kulevya
- Bandundu: Harakati ya wananchi yaonya kuhusu hali mbaya ya makaburi ya wahanga wa Ebola./sites/default/files/2025-01/100125-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3