Habari za siku ya tano asubuhi tarehe 26/07/2024
- Mkuu wa korti ya uchunguzi wa fedha yani Cour des Comptes, Bwana Jimmy Munganga Ngwaka anawaomba wanabunge kuimarisha mamlaka ya korti hii ilikufanya kazi vizuri
- Katika jimbo la Kivu ya kaskazini, yapata watu makumi tatu na watatu waliuawa siku ya tatu na waasi wa ADF katika maeneo ya Beni na Lubero .
- Katika jimbo la Kivu ya kaskazini, yapata watu makumi tatu na watatu waliuawa siku ya tatu na waasi wa ADF katika maeneo ya Beni na Lubero .
- Katika jimbo la Ituri, maiti ya watu wanane ziligunduliwa siku ya tatu huko UESA, karibu na kituo cha kibiashara cha Otmaber kwenye barabara ya Komanda-Luna katika usulutani wa Walesse Vonkutu kusini mwa mtaa wa Irumu
- Shirika la kiraia jimboni Ituri linaonya serikali na washirika wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu ya zaidi ya wakimbizi elfu makumi mbili huko Mungwalu na maeneo jirani
- Katika jimbo la Kivu ya Kaskazini – maisha ni ngumu kabisa kwa familia za wakimbizi zinazoishi katika maeneo ya kaskazini mwa Goma
- Mji wa Kalemie umekumbwa na ongezeko la ukosefu wa usalama . Wahalifu wanao silaha huvamia nyumba ya wakaazi mara kwa mara usiku
- Walimu wa mji wa Kungu Jimboni Sud-Ubangi wanadai kuboreshwa kwa hali zao za kazin kupitiya malipo ya walimu elfu kumi na tano ambao hufanya miaka kazaa bila kulipwa./sites/default/files/2024-07/26072024-s-journalswahilimatingraceamzati-00_web.mp3