Journal Soir

Habari za siku ya tatu asubuhi tarehe 17/07/2024

  • Katika jimbo la Kivu ya Kaskazini, mapigano mapya yametokea  siku ya pili hii asubuhi kati ya jeshi la Kongo na waasi wa m23  karibu na barabara ya Bweremana-Shasha kusini mwa mtaa wa  Masisi.
  • Katika jimbo la Kivu ya Kaskazini kuzorota kwa hali ya kiuchumi, kijamii na kibinadamu, kutokana na ukosefu wa usalama, katika mji wa Goma na mazingira yake ni mada  cha majadiliano huko Goma kati ya waziri mkuu makamu wa Mambo ya Ndani na usalama na watu mbalimbali wa jamii na siasa mjini Goma.
  • Waziri Mkuu makamu  wa Ulinzi Guy Kabombo aliwasili siku ya pili hii huko Kikwit, katika jimbo la Kwilu.
  • Jimboni Kasai Oriental, visa vichache vya uhalifu vimerekodiwa  siku hizi katika mji wa Mbuji-Mayi. 
  • Mashirika kupiganisha rushwa nakutetea hazi za binadamu LICOCO, ODEP na ASADHO yanajifanya kuwa  watetezi na wafuatiliaji wa mkataba wa SICOMINES kwa ajili ya maisha bora ya wanainchi.
  • Tume ya pamoja inayoundwa na wataalamu kutoka Wizara ya Biashara ya Kigeni na Ubalozi wa Uganda nchini Kongo imeundwa siku ya pili hii.  
  • Mjini Kalemie, washahuri wa mitaa  wanashutumu hali  duni ya kazi. Wanatangaza kuwa hakuna ushirikiano mzuri kati yao  na viongozi wa mitaa./sites/default/files/2024-07/170724-journalswahilimatingraceamzati-00_web.mp3