Daktari Dudu KOVE : Sababu za vifo vya wamama wakati wa kuzaa pa Ituri ni nyingi

Huko Ituri, wanawake makumi mbili na sita kati ya mia moja au watoto wachanga walipoteza maisha yao wakati wa kujifungua katika mwaka wa 2024 huko Bunia na kando kando. Mpango wa afya ya uzazi wa jimbo, ambao unatoa takwimu hizi, unajadili sababu nyingi zinazosababisha hali hii. Ni kama vile makosa ya kitaaluma yanayofanywa na wahudumu wa afya na uzembe wa baadhi ya wajawazito. Mpango wa kukabiliana na janga hili unatekelezwa. Ili kulijadili hili, tunamkaribisha Daktari Dudu KOVE ambaye anazungumza na Martial KIZA BYAMUNGU.

/sites/default/files/2025-04/220425-p-s-invitebuniadrdudukovemortinfantile-00-web_.mp3