Emile Muhombo Balume : Hali ya kula na kulala ni shida sana

Jimboni Kivu Kaskazini - Hali ya usalama na kibinadamu bado inatia wasiwasi katika mhimili wa Masisi-Pinga katika tarafa la Walikale. Idadi kubwa ya wakaazi wanaokimbia vijiji vyao kutokana na mapigano ya mara kwa mara wanaishi katika mazingira hatarishi katika makazi yao. Emile Muhombo Balume, mratibu wa shirika lisilo la kiserikali la ARDACO, anarejea kutoka kwa misheni ya tathmini katika eneo hili. Yeye ndiye mgeni wetu leo. Anazungumzia matokeo yake juu ya viwango vya usalama, kibinadamu na afya. Sifa Maguru alimhoji.

/sites/default/files/2024-12/201224-p-s-invitegomaemilemuhombobalumeardaco-00-web.mp3