Faustin Nyebone, mkurugenzi mtendaji wa kitaifa wa shirika lisilo la kiserikali AICED mjini Goma

austin Nyebone,  mkurugenzi mtendaji wa kitaifa wa shirika lisilo la kiserikali linalohusu "Msaada kwa mipango ya Jumuiya kwa uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu AICED kwa kifupi , anazungumziya   mapendekezo yaliyotolewa miezi sita iliyopita, katika viwango tofauti, kuhusu usimamizi wa taka za plastiki katika mji wa Goma. Tumsikilize kwenye kipaza sauti cha Chris Mukand/sites/default/files/2024-07/invitefaustinnyabone_web.mp3