Kuunda mtandao wa wakulima wa kahawa na kakao, haya ndiyo matamanio ya Muungano wa Wauzaji Kahawa na Wasafirishaji wa Kahawa ASSCCAF huko Mambasa. Kikao kilifanyika majuzi kwa lengo la kuweka uzalishaji kati na kubaini wakulima wote katika sekta hizi mbili. Mechak Kambale, mmoja wa wauzaji nje wa kakao na kahawa na anayehusika na muundo huu, anaonyesha kuwa lengo pia ni kupunguza matatizo ya ukosefu wa usalama ambayo wakulima wengi ni waathirika hivi leo. Mechak Kambale akiongea kwa simu na Ezechiel MUZALIA.
/sites/default/files/2024-03/220324-p-s-invitebuniamechakkambale-00-web_0.mp3