Ruth Sabuni: Siku ya mwanamke duniani mwanamke wa Beni aonyeshe sura ya hali ambayo wengine wanatulilia

Mwezi wa kusherekea na kukumbuka haki za mwanamke tayari ume anjishwa. Nini kuelewa kuusu mandalizi na utaratibu ya sherehe hii mjini na mtaani Beni ingalao changamoto ya susalama yaendelea kuvuga eneo hili ? Kwa kuiongelea, tuna mpokea kiongozi wa chumba cha kazi inayo husika na jinsia mwanamke na mtoto mjini Beni. Bi Ruth Sabuni, ajadiliana na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2024-03/070324-p-s-invitebeniruthsabuni-00-web.mp3