Raia wa Goma na maeneo jirani wanakabiliwa na viwango vya uhalifu vinavyotia wasiwasi. Wanajeshi wenye silaha hasa (Wazalendo) makundi haya yenye silaha ya ndani ambayo yanashiriki katika operesheni za kijeshi lakini pia baadhi ya askari wa FARDC wanatajwa na wakazi kuwa ndio chanzo cha ukosefu wa usalama katika jiji hilo. Luteni Kanali Ndjike Kaiko Guillaume, msemaji wa jeshi katika mkoa, ndiye mgeni wetu kulizungumzia. Anazungumza na Sifa Maguru.
/sites/default/files/2024-03/060324-p-s-invitegomacolguillaumendjike-00-web.mp3