Mgeni wetu leo ni Christian Tombo, mratibu wa jukwaa la siasa la Umoja wa Kitaifa wa Taifa jimboni Kivu Kaksazini. Katika mahojiano haya, anakaribisha na kuhimiza uamuzi wa viongozi wa kupunguza mzunguko wa teksi za pikipiki kutoka saa kumi na mbili kamili jioni ili kupunguza uhalifu katika jiji la Goma na kando kando. Kulingana naye, hatua hii inazaa matunda ingawa bado kuna visa vya kukasirisha. Anazungumza na Sifa Maguru.
/sites/default/files/2024-02/280224-p-s-invitegomachristiantombo-00-web.mp3