
Carte de la zone de sécurité sur l'axe Goma-Sake
Mratibu wa Kituo cha Utoaji Damu jimboni Kivu ya Kaskazini, Daktari Liliane Bwiza ndiye mwalikwa wetu wa siku za leo. Anuzungumzia suala kwanza la mahitaji ya damu katika jimbo hilo ambalo linakumbwa na shida za vita mara kwa mara . Anazungumza na Bernardine Diambu.