Mgeni wetu leo ni Makamu wa mkuu anayesimamia utawala wa watu waliohamishwa wa mgogoro kati Ya jamii za wa Mbole na wa Lengola wanaohifadhiwa katika parokia ya Sainte Marthe ya Lubunga. Jean KIMALANGWA Asani Shomary na mkuu wake Roger YENGO wapo katika harakati za kuwatambua watu waliohamishwa eneo hilo. Mpango huu ulitoka wapi? Na lengo lake ni nini? Jean IMANGWA anazungumza na Jacques MUKONKOLE.