
Carte de la zone de sécurité sur l'axe Goma-Sake
Mjini Goma, shirika liitwao "Teteya Mazingira" lilizindua, tangu mwezi wa tatu iliypita , kampeni ya hatari ya Mazuku (CO2) kwa kifupi. Ni kwajili ya kuhamasisha na kuonya watu juu ya hatari ya Mazuku ambayo inaendelea kutatiza watu na wanyama. Bwana Daniel MAKASI, mwandishi wa habari na mtetezi wa mazingira anazungumza kuhusu suala hilo na Denise Lukesso.