Katika jimbo la Kivu ya Kusini…muungano ya Makundi ya Watu wa Kiasili, DGPA, unazindua kampeni ya kutangaza sheria ya ulinzi ya wambote . Sheria iliyotangazwa na Raisi wa Jamhuri Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo mnamo tarehe kumi na tano mwezi wa saba mwaka iliyopita. Msemaji wao katika Kivu ya Kusini ILUNDU BULAMBO STEPHANE ni mwalikwa wetu wa leo. Anazungumza katika na Jean Kasami./sites/default/files/2023-06/invite_swahili_de_ce_mercredi_web_.mp3