Daktari Justin Nganiza : Kila rangi ya ngozi ya mwili ina mafuta ya kupaa inayoendana nayo

Tunamkaribisha mfamasia Justin Ngaza. Anatuambia kuhusu bidhaa za vipodozi zinazofaa kwa ngozi ya watoto. Lakini pia, madhara ya losheni za kun’garisha ngozi zinazotengenezwa kutoka kwa hidrokwinoni ambayo inaharibu melanini kwenye ngozi nyeusi. Katika mahojiano haya na Redio Okapi, Justin Nganiza, kwa mfano, anajadili hatari ya kubadilika kwa ngozi, ambayo inaweza kusababisha saratani. Anazungumza na Ezechiel MUZALIA.

/sites/default/files/2025-04/250425p-s-invitebuniadrjustinnganizahydroquinone-00-web.mp3