Journal Matin

Habari z'asubuhi 28 Mach, 2025

  • New-York: MONUSCO iko tayari kuunga mkono mipango yote inayohimiza kurejea kwa amani nchini Kongo. Hivi ndivyo amesema mkuu wa MONUSCO, Bintou Keita akizungumza na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii siku ya ine
  • Kinshasa : Jeshi la Kongo, FARDC linalaani kuimarishwa kwa misimamo ya jeshi la Rwanda na M23-AFC kwa kuongeza wapiganaji na vifaa pamoja na mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Kongo
  • Kinshasa : Waziri wa Sheria alizindua rasmi siku ya tatu shughuli za kutambua madhehebu ya kidini, jumuiya na mashirika yasiyo ya kiserikali ya kigeni inchini Kongo./sites/default/files/2025-03/280325-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3