Journal Soir

Habari za jioni 28 Mach, 2025

  • Kinshasa : Serikali inaombwa kuzidisha mapambano ya kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa azimio lililotolewa na Baraza la Usalama kwa ajili ya hali ya usalama inchini Kongo linatekelezwa. Suala hili lilizungumziwa siku ya pili katika mkutano baina ya taasisi ulioongozwa na Rais wa Jamhuri mjini Kinshasa
  • Goma : Huko Kivu Kaskazini, waasi wa AFC/M23 bado wako katika mji mkuu wa tarafa la Walikale, siku sita baanda ya tangazo la kujiondoa kwao huko
  • Kinshasa : Waziri wa Sheria alizindua rasmi hii siku ya tatu shughuli za kutambua madhehebu ya kidini, jumuiya na mashirika yasiyo ya kiserikali ya kigeni inchini Kongo./sites/default/files/2025-03/270325-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3