Omar Kavota : Tumeweza kuhamasisha makundi ya kijeshi waweze kujiripoti

Katika jimbo la Kivu Kaskazini, huko Beni, tunaweza kujifunza nini kutokana na mafunzo ya mawakala na watendaji karibu makumi tano wa Mpango wa Kupokonya Silaha, Uondoaji, Ujumuishaji na Uimarishaji wa Jamii wa jiji na tarafa la Beni, Butembo na Lubero kuhusu utambuzi na usajili wa wapiganaji wa zamani? Tunazungumza hayo na mkuu wa PDDRC-S tawi la Beni, mwanasheria Omar Kavota katika mahojiano haya na Marc Maro Fimbo.

/sites/default/files/2025-02/280225-p-s-invitebeniomarkavotaformationpddrcs-00-web.mp3