Pepin Kavota : Tutaendelea kutumika bega kwa bega na jeshi

Mgeni wetu ni Pepin KAVOTA, kiongozi wa uratibu wa mashirika ya kiraia mjini Beni. Katika mahojiano haya, anatueleza kuhusu mkutano uliofanyika kati ya kamanda wa sekta ya uendeshaji wa Sokola 1, Jenerali Bruno MANDEVU, na wakuu wa uratibu wa jumuiya nne za kiraia za tarafa za Lubero, Beni, pamoja na miji ya Butembo na Beni. Kwa pamoja, walijadili hali ya usalama katika eneo hilo na kutoa mapendekezo kadhaa ili kumaliza ukosefu wa usalama. Pepin KAVOTA anazungumza na André KITENGE.

/sites/default/files/2025-01/100125-p-s-invitebenipepeinkavotasociv-00-web.mp3