Habari za jioni 8 Januari, 2025
- Goma: Waliojeruhiwa kwa Vita kutibiwa na timu za MSF huko Masisi na Minova huko Kivu Kusini
- Goma: Hali ya kijeshi huko Masisi pa Ngungu na Sake
- Beni: Kituo cha afya cha Kitsombiro chaibiwa na watu wenye silaha
- Lubumbashi: UNPC inalaani mauaji ya mwanahabari Patrick Numbi
- Kinshasa: Kushuka kwa bei ya samaki maarufu mpiodi pa Kinshasa
- Mbuji mayi: Kampuni ya GREC 6 yasitisha kazi ya ukarabati wa barabara ya Mbujimayi.
- Kinshasa: Ufuatiliaji wa kazi ya ukarabati kwenye Barabara ya Chuo Kikuu cha Kinshasa
- Bukavu: Maandamano ya kupinga uchimbaji haramu wa madini na msaada kwa FARDC
- Bukavu: Waziri wa Mambo ya Ndani anaomba liwali kupeleka faili ya wachina kwa Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma./sites/default/files/2025-01/080125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3