Habari z'asubuhi 10 Januari, 2025
- Kinshasa: Ripoti ya muda ya Kundi la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu DRC
- Goma: Hali ngumu ya usalama wa kibinadamu kwa wakazi
- Beni: Ziara ya Mkuu wa jeshi la Uganda
- Matadi: Kesi za uhalifu zilimerekodiwa Muanda
- Kinshasa: Orodha mpya ya bei za usafiri wa umma katika jiji la Kinshasa
- Bunia: Ripoti ya ajali za barabarani za 2024
- Kinshasa: Matokeo ya Kiwanda cha Kukamata Maji cha Binza Ozone
- Kinshasa: Tamko la Tume ya Uadilifu na Upatanishi wa Uchaguzi kuhusu mageuzi ya katiba./sites/default/files/2025-01/100125-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp3