Journal Soir

Habari za siku ya tano asubuhi tarehe 26/07/2024

  • Mkuu wa korti ya uchunguzi  wa fedha yani Cour des Comptes, Bwana Jimmy Munganga Ngwaka  anawaomba wanabunge kuimarisha  mamlaka ya korti hii ilikufanya kazi vizuri
  • Katika jimbo la Kivu ya kaskazini, yapata watu makumi tatu na watatu waliuawa siku ya tatu na waasi wa ADF katika maeneo ya Beni na Lubero .
  • Katika jimbo la Kivu ya kaskazini, yapata watu makumi tatu na watatu waliuawa siku ya tatu na waasi wa ADF katika maeneo ya Beni na Lubero .
  • Katika jimbo la Ituri, maiti ya watu wanane  ziligunduliwa siku ya tatu huko UESA, karibu na kituo cha kibiashara cha Otmaber kwenye barabara ya Komanda-Luna katika usulutani wa Walesse Vonkutu kusini mwa mtaa wa Irumu
  • Shirika la kiraia jimboni Ituri linaonya  serikali na washirika wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu ya zaidi ya wakimbizi  elfu makumi mbili huko Mungwalu na maeneo jirani
  • Katika jimbo  la Kivu ya Kaskazini – maisha ni ngumu kabisa kwa familia za wakimbizi  zinazoishi katika maeneo ya kaskazini mwa Goma  
  • Mji wa Kalemie umekumbwa na ongezeko la ukosefu wa usalama . Wahalifu wanao silaha  huvamia nyumba ya wakaazi  mara kwa mara usiku
  • Walimu wa mji wa Kungu Jimboni Sud-Ubangi wanadai kuboreshwa kwa hali zao za kazin kupitiya malipo  ya   walimu  elfu kumi na tano ambao hufanya miaka kazaa bila kulipwa./sites/default/files/2024-07/26072024-s-journalswahilimatingraceamzati-00_web.mp3