Didier Buingo, daktari na mwanachama wa Goma Actif

 

Goma Actif   ni mkusanyiko wa watu waliojitolea, wengi wao wakiwa vijana, ambao wamekuwa katika maeneo yawakimbizi  tangu kuanza kwa ukosefu  wa usalama huko Kivu la Kaskazini. Watu hawa Wanatoa msaada wa chakula na dawa kwa wakimbizi  , haswa watoto na wajawazito. Didier Buingo, daktari na mwanachama wa kikundi hiki atatufasria zaida katika mahodjiano haya na Sifa Maguru./sites/default/files/2024-07/20072024-p-sw_invite_goma_actif_sante-00_web.mp3