Mwalikwa wetu wa leo ni Daktari Gertrude Tambavira, daktari anayetibu kisukari katika kituo cha hospitali ya FEPSI mjini Butembo. Anatuambia kuhusu hatua ya kuzuia ugonjwa wa kisukari. Alisema haya siku ya kwanza iliyopita wakati wa sherehe ya siku kuu ulimwenguni kupinaisha ugondjwa wa Kisukari. Daktari Gertrude Tambavira anazungumza na Grevisse Salumu/sites/default/files/2022-11/inviteeswahilidrgertrude_web.mp3