Sifa Shindano Nathalie ni msichana mdogo ambaye anaandamana na waendesha pikipiki teksi ili kuwawezesha ndani ya ASNAMOC, chama cha kitaifa cha waendesha piki piki teksi nchini Kongo. Anaweka utaalamu wake kwa manufaa ya madereva hawa kwa kuwafahamisha kuwekeza pesa kidogo wanazopata badala ya kuzitumia kwa starehe. Mchango wa Sifa Shindano Nathalie unatoa matokeo ya kuridhisha, anashuhudia katika maongezi haya na Jean Kasami./sites/default/files/2022-11/111122-p-s-invitesifashindanonathalieasnamocbukavu-00_web.mp3