Jimboni Ituri, angalau miti makumi ine ya mikaratusi imepandwa na wafanyakazi wa kujitolea wa Umoja wa Mataifa katika uwanja wa Hospitali ya kikosi cha Morocco cha Monusco huko Bunia. Huu ni utangulizi wa Siku ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa Umoja wa Mataifa Duniani inayoadhimishwa tarehe tano Desemba kila mwaka. Ili kulizungumzia, tunampokea kama mgeni wetu Bi Jemimah Ndune USO katika mahojiano haya na Ezekiel Muzalia. /sites/default/files/2022-11/081122-p-s-invitejemimahndunevolontairesmonuscobunia-00_web.mp3