Kama mgeni, tunamkaribisha Bwana Muhindo Tahanga, Mratibu wa Mkoa wa Chama cha Wauzaji wa Chakula "ADEVEVI ". Anazungumza kuhusu ongezeko la bei ya baadhi ya bidhaa za chakula kutoka tarafa la Masisi na Rutshuru, inayoonekana siku hizi katika soko ya Goma. Miongoni mwa vyakula hivyo kuna maharagwe, mahindi, na viazi. Sababu inayochangiya hali hii ni gani? Bwana Muhindo Tahanga anajibu katika mahojiano haya na Bernardine Diambu.
/sites/default/files/2022-10/31102022-p-s-invitemuhindotahangacoordoadevevi-00_web.mp3