Journal Soir

Habari za siku ya pili jioni 

 

  • Katika jimbo la  Kivu ya Kusini katika maeneo ya Fizi, huko Minembwe ... wa wanajeshi wa FARDC walishambuliwa na wapiganaji wa Twirwaneho siku ya kwanza iliyopita. 
  • Jimbo l’Ituri limepewa mpango wa uendeshaji wa shughuli za upokonyaji silaha, uondoaji wa silaha na mpango wa kurejesha katika jamii na uimarishaji
  • Katika jimbo la Kivu Kaskazini, . vifo vingi vimerekodiwa katika kambi ya wakimbizi ambao ni waathiriwa wa maafa huko Kanyaruchinya.
  • Kardinali Fridolin Ambongo alifika hii siku ya pili tarehe kumi na moja mwezi huu wa kumi kwa mara ya kwanza kabisa pa Bandundu, mji mkuu wa jimbo la Kwilu 
  • Ulimwengu unasherekea hii siku ya pili Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike.
  • "Binti wa Beni anahitaji utulivu, usaidizi na kusindikizwa ili kustawi." Haya ndiyo tunayoweza kujifunza kutoka shughuli nyingi zilizo andaliwa katika jiji la Beni hii siku ya pili, katika kusherekea mwaka wa kumi wa Siku ya Kimataifa ya Msichana.
  • Katika jimbo la TSHOPO, barabara ya Kisangani-Ubundu iko katika hali mbaya sana.
  • Jimbo la Kivu ya Kusini lina matatizo ya kibajeti tangu miaka mitatu sasa./sites/default/files/2022-10/111102022_-_p-s-journalswahilimardisoir_web_0.mp3