Habari za siku ya inne asubuhi
- Waziri anayehusika na Mazingira anasema kwamba, tangu sasa, mali ya Kongo itatengezwa nyumbani, kuliko kwenda nje ya inchi.
- Jimboni Kivu ya Kaskazini, mashamba mengi ya mahindi yanashambuliwa na kuharibiwa na vidudu vidogo kutoka Marekani katika eneo la Rutshuru.
- Mjini Kinshasa, Kazi ya ukarabati ya barabara ya Kimwenza mission imekuwa ikiendelea hadi leo katika mtaa wa Mont Ngafula tangu zaidi ya mwaka mmoja.
- Jimboni Nord-Ubangi, wakaadji wanakabiliwa na mafuriko makubwa kutokana na kuu jaa kwa Mto Ubangi.
- Ni siku ya inne asubuhi ndio magari na hata watu walianza tena kusafari kama kawaida kwenye eneo la mupaka la Kasumbalesa baada ya mzozo uliyotokeya huko .
- Jimboni la Kongo Central, waziri auhusikaye na uchumi anapinga wageni ambao wanachuruza kinyuma na sheria
- Katika jimbo la Tanganyika, Wizara ihusikaye na Elimu, ilianzisha siku ya tatu huko Kongolo , kampeni ya kusisimua wazizi katika lengo lakuelimisha watoto./sites/default/files/2022-10/071022-p-s-kinjournalswahilimatingraceamzati-00_web__0.mp3