1/Kinshasa : UA, Baraza la Amani na usala la Umoja wa Afrika una laani vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu vinavyo endeshwa na M23, Adf, FDLR na vikundi vingine vya wanamgambo.
2/Goma : wanawake wa tarafa la Masisi wana towa kibaruwa cha malalamiko kwa rahisi wa inchi Congo.
3/ BENI : Lubero zaidi ya jamaa elfu 16 za wakimbizi wana asili katika mutaa wa Kanyabayonga
4/ Beni : watekwaji Nyara 50 wa waasi wa ADF wame rudishwa ndani ya jamaa zao na kituo Fondation américaine BridgeWay
5/Kinshasa : uamzi kwenye masambo ya mpasha habari Stani Bujakera ina subiriwa tarehe 20 march
6/Bukavu : wagombeya 46 kwenye jumba cha wazee kwenye Bunge ili kuchukuwa nafasi ine kwenye bunge, na wagombeya 26 kwenye kiti cha Liwali
7/Bandundu : yowe kwa kuhokowa hospitali Kuu la BDOM HUKO Kenge, kituo hicho kina hatarishwa na momonyoko wa udongo/sites/default/files/2024-03/10_03_2024_journal_swahili_matin_du_lundi_11_mars_web.mp3