Journal Swahili du Lundi 13 janvier 2025

01. Kinshasa : Maoni ya inchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo kuusu ripoti ya wataalamu wa umoja wa mataifa.

02. Bukavu : Mkutano kati ya liwali wa jimbo na offisi ya baraza jimboni la Bunge.

03. Kisangani : Waziri husika na mambo ya nmadini ana towa siku 14 kwa kampuni za madini kujihorozesha

04. Mbuji-mayi : Sekta la wana siyasa lina gawanywa kuusu feza milioni tatu dola za kimarekani za uwekezaji.

05. Bunia : Kuzidishwa kwa visa vya ubakaji ndani ya kambi la wakimbizi la Rhoo tarafani Djugu

06. Lubumbashi : Muji una kabiliana na vitendo vya mauwaji.

07. Bandundu : Matokeo ya mugomo wa wa waganga wa Synamed kwa wagonjwa wanao lazwa hospitali.

08. Kindu : wasimamizi wa shule wana himizwa kuusu magonjwa ya Mpox

09. Goma : Uvamizi wa sehemu moja ya mbuga la wanyama la Virunga pa Nzulo/sites/default/files/2025-01/12_01_2025_p-journalswahili_lundi_matin_pour_le_web.mp3