Habari za jioni 01 Aprili, 2025
- Kinshasa : Polisi ya kitaifa ya Kongo inasema kwamba imefungua uchunguzi kuhusu mazingira ya kifo cha askari polisi wa usalama barabarani aliyefariki siku ya kwanza mjini Kinshasa na ambaye inasemekana kwamba aliuawa na walinzi wa waziri mkuu
- Kisangani : Watu wa Tshopo wanaitwa kufanya biashara zao kwa amani na kutokubali habari zisizo za kweli. Wito huu ulitolewa hii siku ya kwanza na mkuu wa Bunge la Mkoa wa Tshopo katika ufunguzi wa kikao cha kawaida cha mwezi Machi
- Goma : Shirika la BADILIKA linatahadharisha kuhusu mauaji na utekaji nyara wa vijana katika miji ya Goma na Bukavu na watu wenye silaha. /sites/default/files/2025-04/010425-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3