Journal Soir

Habari za jioni 28 Mach, 2025

  • Kinshasa : Vyama vya kisiasa vinavyopokelewa katika mashauriano yanaoendelea mjini Kinshasa vinathibitisha kwa kauli moja hamu yao ya kuona serikali inakomesha vita mashariki mwa Kongo
  • Lubumbashi : Mabadiliko mapya yameibuka katika kesi ya mauaji ya mwanahabari Patrick Adonis huko Lubumbashi. Washukiwa wanne waliwasilishwa kwa liwali wa mkoa hii siku ya ine
  • Beni : Huko Beni jimboni Kivu Kaskazini, Imelda Mbambu, mama mwenye umri wa miaka makumi sita, ndiye dereva wa teksi pekee wa kike wa pikipiki mjini. Anafanya kazi hiyo kuthibitisha kwamba kazi hii inaweza pia kuwa fursa kwa wanawake.

Dans la même catégorie

08/04/2025 - 19:28
/
08/04/2025 - 19:12
/
08/04/2025 - 18:43
/
08/04/2025 - 18:07
/
08/04/2025 - 18:07
/