Journal Soir

Habari za jioni 03 Februari, 2025

  • Goma: Shughuli za kijamii na kiuchumi zilianza tena lakini kwa woga mjini Goma jimboni Kivu Kaskazini, wiki moja baada ya kuingiya kwa waasi wa M23 wakiungwa mkono na Rwanda, na mapigano kati yao na jeshi la Kongo .
  • /Kinshasa: Kampeni ya kuweka alama kwenye mto KONGO katika sehemu yake ya Kinshasa-Kisangani imezinduliwa rasmi na Uongozi wa usafiri kupitia njia ya  mtoni, RVF.
  • Mbuji-Mayi: Bei ya Mfuko wa mkaa imepanda mjini Mbuji Mayi huko Kasai Oriental tangu wiki tatu sasa. Imetoka franga elfu makumi mbili na tano hadi kati ya franga elfu makumi ine na elfu makumi ine na tano za Kongo./sites/default/files/2025-02/030225-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3

Dans la même catégorie