Journal Soir

Habari za jioni 24 Januari, 2025

  • Kinshasa: Tangazo ya Oxfam kuhusu hali ya sasa ya usalama katika Kivu Kaskazini
  • Goma: Hali ya kijamii na kiuchumi katika jiji la Goma
  • Bunia: Takriban watu wanane wauawa na watu wanaoshukiwa kuwa ADF huko Ndimo na Apakola
  • Bandundu: Mbunge wa Kitaifa Guy Musomo kuhusu hali ya usalama katika tarafa  la Kwamouth ambapo wananchi wanakufa kwa njaa kwa sababu ya kuwepo kwa wanamgambo wa Mobondo msituni
  • Lubumbashi: Dayosisi kuu ya katoliki  inatangaza ujumbe "tuingie vitani" kuhusiana na ukosefu wa usalama
  • Kinshasa: Reli ya mjini kuanza tena hivi karibuni, vipi kuhusu wale wanaoishi karibu na reli?
  • Kinshasa: Majibu ya ONATRA kuhusu wakaazi wanaoishi karibu na reli
  • Kisangani: Shule za Lowa zinafanya kazi vibaya, walimu wamesafiri mjini Kisangani  ili kupata mishahara yao./sites/default/files/2025-01/240125-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3

Dans la même catégorie