Habari za jioni 15 Januari, 2025
- Lubumbashi: Mashirika ya kiraia yanatoa wito kwa viongozi kushughulikia uhalifu unaoongezeka huko Haut Katanga
- Goma: Ufuatiliaji wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na uasi wa M23
- Goma: Ulipishaji wa kutembelea wafungwa katika gereza kuu la Goma
- Bukavu: Wachina watatu wahukumiwa kifungo cha miaka saba cha utumwa wa adhabu na kulipa faini
- Kinshasa: Maandamano ya wakazi wa Lalou mbele ya makazi ya Waziri wa Ujenzi wa Umma
- Kisangani: Caritas yafafanua ucheleweshaji wa mishahara ya walimu
- Bandundu: Walimu wavamia majengo ya Caritas
- Kindu: Baadhi ya shughuli za kiuchumi zimekosa wateja baada ya sherehe za krismasi na mwaka mpya./sites/default/files/2025-01/150125-p-s-journalswahilisoir-00-web_0.mp3