Habari za jioni 14 Januari, 2025
- Goma : Shirika la Médecins Sans Frontières linazungumza kuhusu hali ya Masisi
- Goma : Hali kwenye uwanja ww mapigano kati ya FARDC na M23
- Goma : Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI yaongezeka miongoni mwa wakimbizi wa vita
- Beni: Kesi ya Mpox imethibitishwa katika mtaa wa afya wa Oicha
- Kinshasa: Maoni ya chama cha madereva, ACCO kuhusu mgomo wa madereva
- Kinshasa: Uharibifu wa mvua jijini usiku wa kuamkia hii siku ya pili, watu wamefariki
- Kisangani: Walimu wa Tshopo II waomba kuhamishwa kutoka Caritas hadi bengi nyingine kwa ajili ya kulipwa mishahara yao
- Kinshasa: Ushuhuda kuhusu mwanamichezo maarufu wa Kongo Edingwe Mapima, aliyefariki siku ya kwanza nchini Morocco./sites/default/files/2025-01/140125-p-s-journalswahilisoir-00-web.mp3