Journal Soir

Habari za siku ya inne jioni tarehe 18/07/2024

  • Moto mkubwa ulijitokeza siku ya tatu  jioni mjini  Mbandaka na kuaribu karibu maduka kumi na tano, na  dola elfu kadhaa
  • Jimboni Nord-Ubangi, mtaa wa Yakoma kwa sasa inakuwa na zaidi ya familia mia tatu za wafugaji wa Mbororo, na maelfu ya ng'ombe wao.
  • Kipindi cha kusimamisha mapigano kwa ajili ya msaada ya kibinadamu katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimeongezwa kwa siku kumi na tano zaidi na serikali ya Marekani
  • Mashuhuri mmoja kutoka kusini mwa Lubero anaomba kufunguliwa kwa shughuli za kibinadamu kati ya maeneo ya Lubero e na sehemu ya kaskazini ya  mtaa wa Rutshuru huko jimboni Kivu ya Kaskazini.
  • Utulivu umeonekana kwa siku mbili katika eneo la mapigano ambalo lilipinga, siku ya kwanza na siku ya pili  , wanwshi wa FARDC dhidi ya waasi wa m23 karibu na Bweremana,  katika jimbo la  Kivu ya Kaskazini.
  • Muungano ya  Wanawake wa Amani na Usalama nchini Kongo, unaokutanisha  vyama na mashirika kadhaa ya wanawake nchini humo, ulikutana siku ya tatu  mjini Luanda na rais wa Angola.
  • MONUSCO inaunga mkono jeshi la FARDC ili  kukomesha kuendelea kwa waasi wa M23 na kukomesha unyanyasaji wa ADF ambao ni tishio kwa  majimbo ya Kivu ya Kaskazini na Ituri.
  • Kushuka kwa maji wa Ziwa Tanganyika na Mto Lukuga katika wiki za hivi karibuni. 
  • Katika jimbo la Maniema, wakazi wa eneo la Kibombo waliteseka zaidi ya miezi mitatu iliyopita kutokana hali mbaya wa mitandao ya mawasiliano ya simu./sites/default/files/2024-07/180724-journalswahilisoirgraceamzati-00_web.mp3